Msanii maarufu Monalisa awapa somo wasanii wanaolalamika kuhusu Tuzo za Sinema zetu

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Msani wa Filamu nchini Monalisa amewapongeza Azam Media kwa kuandaa Tuzo za Sinema zetu kwa wasanii wa Filamu kwani zitaamsha hamasa ya tasnia ya filamu hapa nchini na kuwalaani vikali wote wale wanaotoa maneno ya kulaumu Tuzo kwa washindi.

Monalisa anaongeza kwa kusema Azam walitoa nafasi kwa kila msanii kupeleka kazi zake kwa vigezo vilivyowekwa na kuna wengine hawakupeleka na kubaki kulaumu kitu ambacho anasema si kizuri kabisa.
 
Kwani mtu kukosoa au kulalamika juu ya jambo Fulani ni tatizo?
Mbona naona kama wanatumia nguvu kubwa sana kuwazuia wanaolalamika juu ya utoaji wa hizo tuzo?
Kwenye maredio, TV ,mitandao ya kijamii ......
 
Inaweza kuwa hakuna tatizo katika kukosoa lakini inategemea na unakosoa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…