tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Msani wa Filamu nchini Monalisa amewapongeza Azam Media kwa kuandaa Tuzo za Sinema zetu kwa wasanii wa Filamu kwani zitaamsha hamasa ya tasnia ya filamu hapa nchini na kuwalaani vikali wote wale wanaotoa maneno ya kulaumu Tuzo kwa washindi.
Monalisa anaongeza kwa kusema Azam walitoa nafasi kwa kila msanii kupeleka kazi zake kwa vigezo vilivyowekwa na kuna wengine hawakupeleka na kubaki kulaumu kitu ambacho anasema si kizuri kabisa.