JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
Hakika, alikuwa ni series ya vichekesho ya Papa Shirandula pale citizen....ilikuwa kila jitano.Huyu jamaa alikua maarufu sana kule Kenya..nilikua namuona sana Citizen TV..btw apumzike kwa amani.
Jamaa Character yake ilikuwa hataki Mke wake ajue kazi anayoifanya...kazi yake alikuwa ni Mlinzi getini, akiwa kazini anavaa unifomu akiondoka anapitia kichakani anabadilisha anavaa suti ndio anaingia nyumbani.Huyu jamaa alikua maarufu sana kule Kenya..nilikua namuona sana Citizen TV..btw apumzike kwa amani.
Hata huku kwetu huenda wenye maambukizi ni wengi ila inawaumiza zaidi wenye magonjwa yale sugu kama sukari, presha n.k.COVID-19 ni tatizo kubwa kwa wenye miili mikubwa na/au umri mkubwa.
Wembamba nao siyo kinga wote tuchukue tahadhari.