TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

Jamaa Character yake ilikuwa hataki Mke wake ajue kazi anayoifanya...kazi yake alikuwa ni Mlinzi getini, akiwa kazini anavaa unifomu akiondoka anapitia kichakani anabadilisha anavaa suti ndio anaingia nyumbani.
Nilifuatilia sana hii series yao kipindi mwanzo mwanzo tulipoingia kwenye STAR TIMES.
 
Back
Top Bottom