Msanii Madee Ali,azuia nyimbo zake alizoshoot South Africa zisipigwe kwenye TV na Radio station,azifuta kwenye channel yake youtube

Hii movement wakiifanya wasanii wote hasa wanaofanya vyema italeta impact hata wasipofuta leo bali wasitumie tena producers wa SA
 

sawa unachosema ni sahihi

Then madee badala ya kuamua yeye kama yeye, angeshirikiana na wengine na waamue wengi na wawe na wengine Afrika na duniani

That is brilliant Idea from Madee

Lakini yeye kama yeye HANA IMPACT yoyote ile

hana yaani
 
Tatizo si kufahamika mdogo wangu cha muhimu ni kuchukua hatua.

Halaf madee anafahamika zaidi yako mara 10000000 wewe sijui ulitaka afahamike vp?
 
Hongera Madee. Nakuunga mkono.

Ila shusha na hilo dishi la DSTV hapo home...
Hahahaahahaa....🤘😳😳😳😳
 
Kwa akili yako unavyofikiri hiv kweli diamond, Vanessa, alikiba wanaweza kumuiga madee alichofanya?
Kwani Madee kasema anahitaji back up... Mbona mnakuwa wapumbavu hivyo..
Alichokifanya madee ni kuraise awareness kwa Watanzania wote juu ya kile kinachoendelea SA . Watanzania wote wafahamu. Wala hana nia ya kuwajulisha Hao makaburu weusi juu ya hili. He is self conscious.
Sasa kama mmeshindwa kumuelewa sijui ni maharage ya wapi mmekula..!?
Im with Madee.
 
Angalau yeye kwa nafasi yake amechukua hatua...kuna wengine wengi walipaswa kuchukua hatua tangu mwanzo ila mpaka sasa wako kimya!
 
Huku nikutafuta Kiki sasa wewe hata ukifuta hizo ngoma zako huna impact yoyote uko south Africa kwenyewe hufahamiki
unafikiri hata ktk nchi ambazo wameanzisha vurugu kwa wasauzi lilianza kundi kuuuubwa au walianza watu maaaarufu au ni mtu mmoja mmoja kawavuta na wengine na impact zimeonekana
 
Rais wa Manzese mnya barabarani??

Madee???

He aint no musician,just a journeyman!
sjui ni uelewa au ushabiki, madee kafanya vile sababu ya kinachoendelea south, na je itakuwaje km wasanii wengine wakimfuata madee, na wananchi pia, unafikiri itakuwaje?? na je ktk nchi zilizokuwa na vurugu km DRC, sjui ZAMBIA, umewai kufikiria ni nani aliyeanzisha izo vurugu? ni watu maarufu au ni watu wa kawaida saaana na vurudu zikakuwa???
 
Angalau yeye kwa nafasi yake amechukua hatua...kuna wengine wengi walipaswa kuchukua hatua tangu mwanzo ila mpaka sasa wako kimya!
unafiki mwingi kwa watanzania
 
unajua wengi wanalichukulia jambo hili kishabiki na sio kimatokeo
 

And whats your point?

I dont see it anywhere in yo’ comment lady!

Madee is a piece of nobody,mpiga makelele na manung’uniko kwenye nyimbo!

Hakuna mwanamuziki mle!

Waache real musicians and superstars waongee!

Madee?

Mavi yale!
 
Watu wangine bwana kwa kutafuta ujiko,Sasa wewe Madii South Africa anakujuwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…