Msanii Madee Ali,azuia nyimbo zake alizoshoot South Africa zisipigwe kwenye TV na Radio station,azifuta kwenye channel yake youtube

Kima nyingine wala sio hata za kuquote.... Kuziacha tu zipite zikanye kwao..
 
Tatizo hafahamiki hata hizo harakati zake hazita msaidia angefanya diamond ndo ingeleta attention huko south Africa cos ni msanii mkubwa lakini pia anapendwa na watu lakini madee Nani anamfahamu uko south? Kama sio Kiki ni nini?Hii ndio hoja yangu sio kwamba alichokifanya ni kibaya hapana tatizo lake Hana influence yoyote
Basi tu. Kila nikitaka kuandika naona nakutukana. Kifupi una upungufu wa kufikiri kwa mapana. Too low!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imebidi tu nicheke.
 
Mkuu Madee una mbwembwe,wala hamsaidii situation kwa hayo mnayofanya
 
Angalau angefanya diamond ingemake sense huyu madee hata south Africa kwenyewe hafahamiki kiufupi Hana impact yoyote naona lengo lake ni kutafuta Kiki Hana lolote.
Yaani Wewe kenge kila kitu unaingiza habari za diamond!..
Kaingiaje hapa diamond??

Habari ni madee kufuta wimbo wake aliofanya sauzi..

Wewe umeanza ooh diamond ndo bora angekuwa yeye!.. 😠😠

Kwa hiyo diamond ndo kaimba vuvula???

Achaga ujinga nyau wewe
 
Kijana mbona una hasira na Mimi? Huyo madee ni msanii ambaye afahamiki huko south Africa so hata akifuta ngoma zake hana impact yoyote hiv wa south wanaweza kubabaika kufuta kwa ngoma za madee? ndo maana nikamtolea mfano diamond au Vanessa ambao ni famous
wakubwa na influencers wangefanya hivyo kidogo ingekuwa na uzito na ingeteka attention south na Africa kiujumla lakini huyo madee Nani anamfahamu?sio kwamba alichokifanya ni kibaya la hasha! Lakini anajulikana kiasi chakujadiliwa? We badala ufocus na hoja yangu badala yake unaniattack personally.
 
Madee nae ni kiki tu sasa hilo li nyimbo la vuvula ata mimi silijui sembuse huyo msauzi kwanza hana habar yoyote
 
Kijana mbona una hasira na Mimi? Huyo madee ni msanii ambaye afahamiki huko south Africa so hata akifuta ngoma zake hana impact yoyote hiv wa south wanaweza kubabaika kufuta kwa ngoma za madee? ndo maana nikamtolea mfano diamond au Vanessa ambao ni famous
wakubwa na influencers wangefanya hivyo kidogo ingekuwa na uzito na ingeteka attention south na Africa kiujumla lakini huyo madee Nani anamfahamu?sio kwamba alichokifanya ni kibaya la hasha! Lakini anajulikana kiasi chakujadiliwa? We badala ufocus na hoja yangu badala yake unaniattack personally.
Wewe hujiulizi tuu watu wote wanakupinga?? hujiulizi tu?
sababu hutumii akili
kila mtu anakwambia ila wewe umekazana diamond! diamond!..
hatuangalii ukubwa wa jina la madee,bali kaplay part yake Kama kioo cha jamii (msanii) kafanya hivi ili wasanii wengine wafuate..

sasa Wewe ulitaka aanze diamond ndo wafuate wengine! 😂😂

tumiaga akili Binti..
 
Tatizo hafahamiki hata hizo harakati zake hazita msaidia angefanya diamond ndo ingeleta attention huko south Africa cos ni msanii mkubwa lakini pia anapendwa na watu lakini madee Nani anamfahamu uko south? Kama sio Kiki ni nini?Hii ndio hoja yangu sio kwamba alichokifanya ni kibaya hapana tatizo lake Hana influence yoyote
Hana influence? Nimecheka.
 
Ng'oeni na mabati ya msouth..
Mabati ya Msouth ni jina tu -nick name zilizopewa haya mabati kwa sababu aina ya ujenzi huu ambao ni wa kisasa kwa Tanzania tuliiga kutoka S.A!

Kiuhalisia, hayo mabati sio ya south Africa hata Bongo kuna viwanda vinazalisha exactly the same roofs.
 
Back
Top Bottom