Basi tu. Kila nikitaka kuandika naona nakutukana. Kifupi una upungufu wa kufikiri kwa mapana. Too low!Tatizo hafahamiki hata hizo harakati zake hazita msaidia angefanya diamond ndo ingeleta attention huko south Africa cos ni msanii mkubwa lakini pia anapendwa na watu lakini madee Nani anamfahamu uko south? Kama sio Kiki ni nini?Hii ndio hoja yangu sio kwamba alichokifanya ni kibaya hapana tatizo lake Hana influence yoyote
Yaani Wewe kenge kila kitu unaingiza habari za diamond!..Angalau angefanya diamond ingemake sense huyu madee hata south Africa kwenyewe hafahamiki kiufupi Hana impact yoyote naona lengo lake ni kutafuta Kiki Hana lolote.
ampe mara ngapi??Naona Diamond siku akikuomba utampa maana sio kwa kimhusudu huko wkt ilitakiwa wanamziko wt Afrika wawasusie hao wasauzi,
huyu innocent sijui!..mkuu, nimemshangaa sana jamaa,bongo ukifanya la maana unasemwa, ukifanya upuuzi unapongezwa
Hata mimi nimeshangaa kiki mbaya sanaHuku nikutafuta Kiki sasa wewe hata ukifuta hizo ngoma zako huna impact yoyote uko south Africa kwenyewe hufahamiki
Kijana mbona una hasira na Mimi? Huyo madee ni msanii ambaye afahamiki huko south Africa so hata akifuta ngoma zake hana impact yoyote hiv wa south wanaweza kubabaika kufuta kwa ngoma za madee? ndo maana nikamtolea mfano diamond au Vanessa ambao ni famousYaani Wewe kenge kila kitu unaingiza habari za diamond!..
Kaingiaje hapa diamond??
Habari ni madee kufuta wimbo wake aliofanya sauzi..
Wewe umeanza ooh diamond ndo bora angekuwa yeye!.. π π
Kwa hiyo diamond ndo kaimba vuvula???
Achaga ujinga nyau wewe
Wewe hujiulizi tuu watu wote wanakupinga?? hujiulizi tu?Kijana mbona una hasira na Mimi? Huyo madee ni msanii ambaye afahamiki huko south Africa so hata akifuta ngoma zake hana impact yoyote hiv wa south wanaweza kubabaika kufuta kwa ngoma za madee? ndo maana nikamtolea mfano diamond au Vanessa ambao ni famous
wakubwa na influencers wangefanya hivyo kidogo ingekuwa na uzito na ingeteka attention south na Africa kiujumla lakini huyo madee Nani anamfahamu?sio kwamba alichokifanya ni kibaya la hasha! Lakini anajulikana kiasi chakujadiliwa? We badala ufocus na hoja yangu badala yake unaniattack personally.
akili za madee hizo,anahisi kawakomoa wa S.ANg'oeni na mabati ya msouth..
Aah sina usemi bwana mkubwaNdio, unasemaje?
Hana influence? Nimecheka.Tatizo hafahamiki hata hizo harakati zake hazita msaidia angefanya diamond ndo ingeleta attention huko south Africa cos ni msanii mkubwa lakini pia anapendwa na watu lakini madee Nani anamfahamu uko south? Kama sio Kiki ni nini?Hii ndio hoja yangu sio kwamba alichokifanya ni kibaya hapana tatizo lake Hana influence yoyote
Mabati ya Msouth ni jina tu -nick name zilizopewa haya mabati kwa sababu aina ya ujenzi huu ambao ni wa kisasa kwa Tanzania tuliiga kutoka S.A!Ng'oeni na mabati ya msouth..