Halafu unabana pua eti mimi great thinker,wakati hii ndio thinking capacity yako,Nikuulize swali wale wanaovuta sigara hawachomi hela kweli,au ndio promoter kazini?Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.
Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.
Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
hahahha acha fikra mgando ndugu fanya yako ya madee mwachie yeye
kwanza hyo ni kick tu unahaja ya kupimwa tezi dume wew mania
Rejea wimbo wake wa vuvula anasema, yeye ni mfanya biashara, na ametawala toka manzese mpaka kimara pia kufa masikini ni ufala mm nashauri tupige kazii mbona mjini hela zipo kibaooo juhudi ndio muhimu michongo yote mnalalamika hamna pay!Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.
Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.
Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.
Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.
Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
Migari kama hiyo ya bei huwa haiunguagi; inatoa moshi kiana tu kisha inabakia safi iking'aa kama imeoshwaMkuu Inatia Uchungu Sana Kuona GARI Ambayo Unapambana Kwa UDI Na Uvumba Kupata HELA Na Uinunue Kama NOAH Halafu Hivi Hivi Tu Kirahisirahisi INACHOMWA Moto. This Isn't Fair!