Msanii Madee unatuumiza na kututia hasira mno sisi Hustlers

Mayweather sijui atasemaje kama wewe gari la milioni 50 ndio umeona dili sana kiasi cha kuona gari ya milioni 3 sio gari ....
Naomba unisaidie tasfsri ya neno gari
 
Meta mad hiii shikamooooooo
Ila tuandae lira 5 za petrol kabisa just in case

Ovaaq
 
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.

Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.

Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
Halafu unabana pua eti mimi great thinker,wakati hii ndio thinking capacity yako,Nikuulize swali wale wanaovuta sigara hawachomi hela kweli,au ndio promoter kazini?
 
Ila mi najiuliza hii jeuri Madee kaitoa wapi ???
images
 
JAMII FORUM NAPO KUNA MBUMBUMBU WENGI HAMJUI KUWA HILO NI TANGAZO NA LEO MTAJAA SANA HAPO ESCAPE ONE
 
hivi mkuu hujajua tu maana ya "KUCHOMA GARI"? Mwenzio kamaanisha vingine

#Wasukumabwana
 
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.

Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.

Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
Rejea wimbo wake wa vuvula anasema, yeye ni mfanya biashara, na ametawala toka manzese mpaka kimara pia kufa masikini ni ufala mm nashauri tupige kazii mbona mjini hela zipo kibaooo juhudi ndio muhimu michongo yote mnalalamika hamna pay!
 
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.

Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.

Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.

wewe jamaa utakuwa si lijali kabisa

yaani mwanume/mke mzima unakuja kumuongelea mwanaume mwenzako hapa, sasa ili iweje, unamtangazia nani sasa kama sijui huyo ana miliki magari yenye thamani kama hiyo

harafu nani kakwambia kuna gari inauzwa sh millioni 3?

acha umbeya wewe
 
Mkuu Inatia Uchungu Sana Kuona GARI Ambayo Unapambana Kwa UDI Na Uvumba Kupata HELA Na Uinunue Kama NOAH Halafu Hivi Hivi Tu Kirahisirahisi INACHOMWA Moto. This Isn't Fair!
Migari kama hiyo ya bei huwa haiunguagi; inatoa moshi kiana tu kisha inabakia safi iking'aa kama imeoshwa
 
Nakushangaa uñapoongelea umaskini wa Watanzania wakati wewe umejificha kwa mgongo wa CCM unapiga tu na mfumo unakufeva. Fanya yako na msalimie nabii wako yule
 
mimi nasubiria kuina akichoma gari maana kashapigwa kimoja tayari
 
Namshauri Madee, kulikoni alichome hilo Gari ni Bora akalitoa Msaada kwenye Hospitali likatumika Kubebea Wagonjwa. Au akalipeleka Moja kwa moja kwenye serikali yake ya Mtaa huko manzese anakoishi na kulikabidhi huko ili lisaidie kubebea wamama wajawazito wanao patwa na Uchungu Usiku wa Manane.

Kwa kufanya hivyo anaweza akapata heshima kubwa sana ndani ya Jamii inayo mzunguka.

By the way Timu yake Imeshindwa tayari. Hivyo namsihi abadiishe fikra zake.
 
Back
Top Bottom