Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

Nanyor

Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
9
Reaction score
11
Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media.

Screenshot_20241102_111929.jpg

Screenshot_20241102_112007.jpg


 
Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini.
Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB
Je nini kimetokea?.

Kwanini swala la 2021 (mkataba), leo 2024 inakuwa ni mjadala?
 
Wasanii wengi matapeli matapeli wanachukulia vitu poa poa

Ova
 
Hawa si ndiyo wale Wakenya wanaolalamikiwa na wasanii wengi?, sasa msanii kwanini asitafute Mwanasheria amsaidie katika kupitia mkataba kabla ya kusaini mkataba?.
 
Back
Top Bottom