N Nanyor Member Joined Oct 27, 2024 Posts 9 Reaction score 11 Nov 2, 2024 #1 Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media. Your browser is not able to display this video.
Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media. Your browser is not able to display this video.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Nov 2, 2024 #2 Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB
Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 Nov 4, 2024 #3 Mbona 2021 tena!!!
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Nov 4, 2024 #4 sinza pazuri said: Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB Click to expand... Je nini kimetokea?. Kwanini swala la 2021 (mkataba), leo 2024 inakuwa ni mjadala?
sinza pazuri said: Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB Click to expand... Je nini kimetokea?. Kwanini swala la 2021 (mkataba), leo 2024 inakuwa ni mjadala?
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Nov 4, 2024 #5 Mwl.RCT said: Je nini kimetokea?. Kwanini swala la 2021 (mkataba), leo 2024 inakuwa ni mjadala? Click to expand... Marioo hakutokea kwenye show.
Mwl.RCT said: Je nini kimetokea?. Kwanini swala la 2021 (mkataba), leo 2024 inakuwa ni mjadala? Click to expand... Marioo hakutokea kwenye show.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 4, 2024 #6 Wasanii wengi matapeli matapeli wanachukulia vitu poa poa Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 4, 2024 #7 ielewemitaa said: Mbona 2021 tena!!! Click to expand... Labda wamefukua kaburi Ova
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Nov 4, 2024 #8 Hawa si ndiyo wale Wakenya wanaolalamikiwa na wasanii wengi?, sasa msanii kwanini asitafute Mwanasheria amsaidie katika kupitia mkataba kabla ya kusaini mkataba?.
Hawa si ndiyo wale Wakenya wanaolalamikiwa na wasanii wengi?, sasa msanii kwanini asitafute Mwanasheria amsaidie katika kupitia mkataba kabla ya kusaini mkataba?.
MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,726 Reaction score 2,691 Nov 4, 2024 #9 sinza pazuri said: Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB Click to expand... May be wanabana matumizi
sinza pazuri said: Mtu na meneja wake wote hawana ubavu wa kuelewa walichokuwa wanasaini. Lebo ziajili lawyers kama wafanyanvyo WCB Click to expand... May be wanabana matumizi