Yaani we jamaa umewamaliza kabisaawe anauza unga au anauza mahindi,mchele au mafuta muhimu anaingiza mkwanja tu na tena ka kweli anauza ngada bhasi ana akili hadi anakumbuka kujenga wangapi wanaishia kutumia ngada 2,wana athirika sa ye ka anauza freeesh na we uza upate ata robo eka bahari beach
Halafu anajitahidi kujifanyia promo baada ya watu kumbaini kachoka hata hela ya kula hana. Huyo jamaa kachoka mbaya ana kijumba uchwara pale tanga. Akija mjini anahifadhiwa na jamaa yake pale faya. Sijui kwanini anadanganya watu
Nadhani tatizo kubwa ni baadhi yetu kutojua kuwa sanaa ya bongo awe mwanamuziki au senema hailipi kivileee! so ujinga huo nao umewaingia wanataka kuonyesha kuwa tunavyotegemew wawe ndivyo walivyo so kama hana hayo maisha ila anatuzuga ni wazi anajizuga mwenyewe coz mwisho wa siku hatuna hasara.
Yaani msanii katoa wimbo mmoja au kaonekane kwenye kipande cha senema tayari daladala inakuwa mwiko kwake kupanda! jamani kwa mtonyo gani?
Nakubaliana wewe,mwenye hela zake hawezi kulewa mpaka akazimika vichochoroni na hakuna wa kumsitiri mpaka anapigwa picha
hivi ile video yake ilishatoka?
Hivi mtoto wa Rais ana shida abebe dawa za kulevya wakati kuna wapambe kibao tu wangeweza kumbebea wakati mwenyewe akiendelea kunywa juice Ikulu? Yaani mnaamini hadithi za kutunga za Yerricko Nyerere na ID ya Jason Bourne ambayo zamani watu walikuwa wakiamuamini hadi alipokuja kuumbuliwa na moderator wa JF!!!