Msanii Matonya na utajiri wa kutisha

Msanii Matonya na utajiri wa kutisha

Naweza nikapata wachawi wawili watatu kwenye huu uzi.
 
awe anauza unga au anauza mahindi,mchele au mafuta muhimu anaingiza mkwanja tu na tena ka kweli anauza ngada bhasi ana akili hadi anakumbuka kujenga wangapi wanaishia kutumia ngada 2,wana athirika sa ye ka anauza freeesh na we uza upate ata robo eka bahari beach
Yaani we jamaa umewamaliza kabisa
 
Ana pesa kuliko diamond? Kweli Mziki unalipa, hasa ukiufanya kimya kimya.
 
Halafu anajitahidi kujifanyia promo baada ya watu kumbaini kachoka hata hela ya kula hana. Huyo jamaa kachoka mbaya ana kijumba uchwara pale tanga. Akija mjini anahifadhiwa na jamaa yake pale faya. Sijui kwanini anadanganya watu

Nakubaliana wewe,mwenye hela zake hawezi kulewa mpaka akazimika vichochoroni na hakuna wa kumsitiri mpaka anapigwa picha
 
Nadhani tatizo kubwa ni baadhi yetu kutojua kuwa sanaa ya bongo awe mwanamuziki au senema hailipi kivileee! so ujinga huo nao umewaingia wanataka kuonyesha kuwa tunavyotegemew wawe ndivyo walivyo so kama hana hayo maisha ila anatuzuga ni wazi anajizuga mwenyewe coz mwisho wa siku hatuna hasara.
Yaani msanii katoa wimbo mmoja au kaonekane kwenye kipande cha senema tayari daladala inakuwa mwiko kwake kupanda! jamani kwa mtonyo gani?
 
Wa buku jero!
 
JAMBAZI! buku jero ndo nauli ya daladala. Hawa watu wanabisha hodi kwako kuomba wa shoot move yao sio jambo baya tatizo linakuja wanaendelea kuigiza hata katika maisha yao halisi ndo mtihani huo. Mtu unamuona katika filamu moja haonekani tena wenyewe wanajuana na kuitanaa wauza sura.
 
Nakubaliana wewe,mwenye hela zake hawezi kulewa mpaka akazimika vichochoroni na hakuna wa kumsitiri mpaka anapigwa picha

hivi ile video yake ilishatoka?
 
Hivi mtoto wa Rais ana shida abebe dawa za kulevya wakati kuna wapambe kibao tu wangeweza kumbebea wakati mwenyewe akiendelea kunywa juice Ikulu? Yaani mnaamini hadithi za kutunga za Yerricko Nyerere na ID ya Jason Bourne ambayo zamani watu walikuwa wakiamuamini hadi alipokuja kuumbuliwa na moderator wa JF!!!

hahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom