Msanii Mbosso ndani ya Ikulu Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe: 04 Februari. 2023 ametembelewa na Msanii wa Kizazi kipya kutoka Wasafi, Mboso (Mbwana Yussuf Kilungi) aliyefika Ikulu kujitambulisha.

Rais Dk. Mwinyi amemtaka msanii huyo kuendelea kufanya vizuri sambamba na kujikita katika kuutangaza Utalii wa Zanzibar.

Akimtambulisha Msanii huyo, Mkuu wa Idara ya Uhusiano Wasafi Media Spencer Lameck amemueleza Rais Mwinyi kuwa Lebo ya Wasafi itaendelea kuwa karibu na Serikali ya Zanzibar kutangaza mambo mbalimbali ikiwemo Utalii pamoja na kutoa ushirikiano kuimarisha sanaa ya Muziki.

[emoji414] 04 Februari, 2023.

[emoji625] Ikulu Zanzibar.



 
kwa nini mataifa makubwa yanatuma balozi au wawakilishi ndani ya serikali kutembelea ikulu.sbabu tuna jishusha sana kwa vitu vya kijinga
 
USHAWAI KWENDA POLISI KUSALIMIA .BASI IKULU SIO SEHEMU KILA MTU ANAFIKA EMBU USIJAZARAU
Mzee ile ni sehemu ya makazi ya Rais anaruhusiwa kwenda hata wewe kumtembelea kikubwa ufuate taratibu na kanuni sio kwamba wanaenda kucheza Rhumba kule, ni salamu na kubadirishana mawili matatu basi siku imepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…