Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe: 04 Februari. 2023 ametembelewa na Msanii wa Kizazi kipya kutoka Wasafi, Mboso (Mbwana Yussuf Kilungi) aliyefika Ikulu kujitambulisha.
Rais Dk. Mwinyi amemtaka msanii huyo kuendelea kufanya vizuri sambamba na kujikita katika kuutangaza Utalii wa Zanzibar.
Akimtambulisha Msanii huyo, Mkuu wa Idara ya Uhusiano Wasafi Media Spencer Lameck amemueleza Rais Mwinyi kuwa Lebo ya Wasafi itaendelea kuwa karibu na Serikali ya Zanzibar kutangaza mambo mbalimbali ikiwemo Utalii pamoja na kutoa ushirikiano kuimarisha sanaa ya Muziki.
[emoji414] 04 Februari, 2023.
[emoji625] Ikulu Zanzibar.