Sijajua ni kwanini basata haipiganii kabisa maslahi ya wasanii.. Zaidi huwa naona inatoa adhabu peke yake... Mi nadhani kuna Muda kama hawa wangekua na maslahi mazuri kwenye kazi wanazo fanya nao pia wangekua ni watu wa mfano wa kuigwa kwenye jamii.. Lakini sasa tunapoelekea mzazi kumrusu mtoto hasa wa kike kushiriki kwenye sanaa itakuwa ni ngumu mno..
Basata wasanii wanafanya sana Kazi.. Ila maslahi hamna hilo ni tatizo inatakiwa mtatue nyie sio kuita ita wasanii Muonekane na nyie mpo mnafanya Kazi... Kumbe hamna kitu..
Alafu napendekeza kwenye taasisi yenu wazee wapungue.. Wawekwe vijana angalau nadhani tutaona mabadiliko.