Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

View attachment 1229614
Ameomesha kila kitu nje si atembee uchi tuuu? Laana tupu
 
Niulize kijinga tu, Manina mwenyewe ndo huyo pichani au mwingine?? Yaani vidume weshachezea hadi kupoteza hamu naye au ni kidume kilinyimwa kika photshop tu
 
Hakuna photoshope rafiki shetwani ametamalaki
 
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

View attachment 1229614
Nikimwangalia huyu Dada alivyo mzuri ktk mavazi nawaza yale manundu nundu

Nampa Pole...
 
Back
Top Bottom