Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemtaka msanii Menina kufika katika ofisi zake jijini Dar es Salaam kwa mahojiano baada ya kusambaa picha na video zisizo na maadili za msanii huyo.
 
Msaniiii kaimba wimbo gani?

kaigiza igizo gani?

Hana u star wowote wa kuitwa public

Basata wanataka tu kiki na wao

Watavyogombania kumuhoji sasa?
 
Mpinzani akifanya kosa unafunga goal,linakuwa faida kwako. Kuvuja kwa video yao ni kosa kwa wapinzani. Sie twaburudika.
 
Leten video hiyo tuione ili tuweze kuipa marks ili iweze kuingia kwenye records za picha zenye viwango vya kuweza kuitwa BASATA.. Au kama vip tutumien inbox.
 
Leten video hiyo tuione ili tuweze kuipa marks ili iweze kuingia kwenye records za picha zenye viwango vya kuweza kuitwa BASATA.. Au kama vip tutumien inbox.
 
Nawaomba BASATA wawe wanachukua hatua kali mno. Hawa wanaoitwa Wasanii hujibanza huko kutafuta umaarufu kwa kuvunja maadili yetu kama Taifa. Kutokana na adhabu zisizotisha kwao wahusika, huwa wanapeana zamu ya kuachia mambo yao machafu hadharani. Bure kabisa hawa wanaojiita Wasanii!
 
Hiyo video iko wakuu!!

mwenye nayo aweke hapa au pm yangu iko wazi waweza kuniachia huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…