Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

BASATA bana! Sasa wanamuitaje kumhoji kwani ilikuwa filamu au maisha binafsi na mwijaku wake
 
Maadili gani? Mwili wangu ni mali yangu! Je kupiga watu risasi ndiyo maadili yetu? Kuwapoteza? acha hizo, mmeshaharibu kila kitu
 
Wote ambao wametazama hiyo video na kutangazia wengine, lazima wapate kushughulikiwa kikamilifu, ili iwe funzo kwa wengine kwamba kupiga chabo video za "u-meninax" ni kosa kihisia.
 
hizo picha za utupu ziko wapi sasa,ilituongee lugha moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…