Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Mbona hakuna hiyo "habari "??
Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??

kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....

mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...

Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....

Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.

Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
 
Dah sikujua kumbe bongo kuna mademu wazuri namna hii...aaah sio siri hili litoto lizuri wajameni
 
Connection ya video za kuvuja za ngono! Mkuu jifariji hata kwa video zengine za x😁 mbona sites za x shazi tu.
 
Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.
Naona mnamfanya Mungu kuwa mjomba wenu. Umesikia kuwa alikuwa hajui kuwa kuna siku Manina atatamani kutuonesha hiyo kitu yake ilivyo kubwa?? Kaonesha iliyo mali yake. Ifike mahali mtu akitaka kuuza sehemu yake iwe maini, mapafu au figo msimzuie kuionesha kwanza ndio apate mteja.
Muulizeni kama hata saa hii kama hana mtu anamsumbua kuomba apewe neema ya hata kuigusa tu kwa kidole. Biashara matangazo bhana. Acheni utoto. Mtu kaonesha tu tiharuki nchi nzima. Manina kaoneshaaaa angeikatapo mngefanyaje? Nchi hii ishakuwa ya udaku tu. Leteni habari za ziara ya mkuu sio maonyesho
 
hahaha!! mkuu matukio mengi ya kuvujisha huwa wanaume wanahusika ila kwa case ya huyo amejirecord mwenyewe but nani aliyevujisha?? inawezekana alikuwa anaugomvi na mtu so akaamua kuchukua simu yake na kufanya yake
Nawew habari kamili utakuwa huijui. Kila kosa likifanyika ni wanaume, huwazi kuwa ni ujinga wa mwanamke au wote wawili??

Vids zinaonyesha yeye ndio alikuwa akiset kamera, kisha kufata yaliyotokea, kalazimshwaje hapo.

Huwa watu wana play victim wakati mambo yaki haribika, kosa la huyo bwege kuzivujisha na kuwapa mabaharia fahari ya macho.
 
Hata kama kukiwa na kutokuelewana kuvujisha picha za uchi za demu wako sio maadili ya mwanaume anaejitambua
Na ni kwa nini kama ni hivyo upigwe picha zavutupu na mpenzio kwa kazi gani ona sasa zimetumika vibaya
 
hahaha!! mkuu matukio mengi ya kuvujisha huwa wanaume wanahusika ila kwa case ya huyo amejirecord mwenyewe but nani aliyevujisha?? inawezekana alikuwa anaugomvi na mtu so akaamua kuchukua simu yake na kufanya yake
Sasa rejea ulicho kiandika sasa.
 
Back
Top Bottom