Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz

"Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
 
Attachments

  • 1721497910245.jpg
    1721497910245.jpg
    633.7 KB · Views: 8
Kipindi hicho elfumoja ni kama laki moja.hela ilikuwa na thamani sana tofauti na sasa.mama Samia kaharibu uchumi Hadi kupelekea Hela yetu kushika sana thamani.kwa Sasa Dola Moja ni 2690 na Hadi amalize itafika elfukumi
 
Mbna kazeheka sana jamaa! Daah kweli dunia mapito hii.
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, Nimeshaachana na Jack sasa namfata Salama, Saa kumi na mbili na appointment mademu wawili
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili.
Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo tena duniani, Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni
Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni"

So Bado unauliza why kuzeekaling? 😥
Btw huyu tulilipa viingilio kusikiliza darasa, Siku hizi tunalipa viingilio kusikiliza matusi 😏😏
 
Mkuu

Mkuu umepiga mle mle
 
2004 hiyo, where were you?😂

Alitengeneza pesa nyingi, Ila waganga na uchimbaji madini vikammaliza
 
Back
Top Bottom