Msanii Mkubwa Vs Underground Mkubwa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Posts
4,505
Reaction score
5,715
Kuna tofauti gani,kati ya msanii mkubwa na underground mkubwa
 
Mfano ni diamond(msanii mkubwa) na ali kiba( underground mkubwa)
 
Kuna wasani wachawi na wacha mungu
 
Ochumeraa na data sawa mpo sahihi kabisa ila sio kwa mda wote mtakuwa sahihi
 
Last edited by a moderator:
Kuna wasani wachawi na wacha mungu

Kuzuri unalifahamu vizuri dangote ni nooma bila fekero...

Kwa ambaye haelewi chochote, Akiangalia hta ratiba ya kazi ya Diamond kwa mawezi wa 8 ufananishe na wazee wa kubweteka bila ccm au fiesta maisha magumu utaona utofauti mkubwa saaaaana!! na hilo unalifahamu..

Ukiachana na CCM, dogo kapiga show zake tz, kenya, projects South, Nigeria.. kama ni uchawi basi ndumba yake ni nooma Ya Michael Jackson inasubiri
 
Kupiga show mbona kawaida hiyo tena sana coz ana watu wengi wamemzunguka bila show atawauwa na njaaa kwani hiyo miaka mitatu aliyopumzika alikuwa anapiga show na life goes on
 
Kupiga show mbona kawaida hiyo tena sana coz ana watu wengi wamemzunguka bila show atawauwa na njaaa kwani hiyo miaka mitatu aliyopumzika alikuwa anapiga show na life goes on

Ni kweli show zinampa diamond pesa lakini ujuwe ndio mwanamuziki anaetengeneza zaidi pesa kupitia mziki bila show...

NI balozi wa Vodacom Mziiki, huko anakula sana hela
Youtube views
Hatimiliki za kuchezwa nyimbo zake (Kama ilivyo tangazwa juzi kenya kuwa nyimbo zake zinapigwa kuliko hata wakenya wenyewe na kuongoza kimapato marambili ya Sautisol ambao ni #2) bado kuna zakujazilizia ukiachana na EAST kuna Nigeria, South africa
Ringback tunes ambapo kimapato tz anaongoza, na bado aongezee Za njecya east (japokuwa kwa hii inaweza isiwe kiivyo nje ya eàst)

Atalala vipi na njaa? Afu unakuja kwenye Shows anakuwa ametisha... ndio maana hta kiba unaposema kakaa miaka mitatu sawa, lakini sahv yupo anafanya nin?? na anafaidika vipi kimaisha??
 

Hahahaaa rafiki hivi ile show ya jana ilikuwaje ikatangazwa gafla vile na watu wakajaa?
 
Nafikir Utofaut Upo Kwenye Umarufu, Msanii Mkubwa Anakua Maarufu Zaidi Ya Underground Mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…