Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni diamond(msanii mkubwa) na ali kiba( underground mkubwa)
Kuna wasani wachawi na wacha mungu
Kupiga show mbona kawaida hiyo tena sana coz ana watu wengi wamemzunguka bila show atawauwa na njaaa kwani hiyo miaka mitatu aliyopumzika alikuwa anapiga show na life goes onKuzuri unalifahamu vizuri dangote ni nooma bila fekero...
Kwa ambaye haelewi chochote, Akiangalia hta ratiba ya kazi ya Diamond kwa mawezi wa 8 ufananishe na wazee wa kubweteka bila ccm au fiesta maisha magumu utaona utofauti mkubwa saaaaana!! na hilo unalifahamu..
Ukiachana na CCM, dogo kapiga show zake tz, kenya, projects South, Nigeria.. kama ni uchawi basi ndumba yake ni nooma Ya Michael Jackson inasubiri
Kupiga show mbona kawaida hiyo tena sana coz ana watu wengi wamemzunguka bila show atawauwa na njaaa kwani hiyo miaka mitatu aliyopumzika alikuwa anapiga show na life goes on
Kuzuri unalifahamu vizuri dangote ni nooma bila fekero...
Kwa ambaye haelewi chochote, Akiangalia hta ratiba ya kazi ya Diamond kwa mawezi wa 8 ufananishe na wazee wa kubweteka bila ccm au fiesta maisha magumu utaona utofauti mkubwa saaaaana!! na hilo unalifahamu..
Ukiachana na CCM, dogo kapiga show zake tz, kenya, projects South, Nigeria.. kama ni uchawi basi ndumba yake ni nooma Ya Michael Jackson inasubiri
Mfano ni diamond(msanii mkubwa) na ali kiba( underground mkubwa)
Hahahaaa rafiki hivi ile show ya jana ilikuwaje ikatangazwa gafla vile na watu wakajaa?
Nioooooma nazicheki video hapa jinsi alivyopata shangwe...