Msanii mliyesema kaishiwa, Rayvanny kashachaguliwa huko kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini Canada Siku ya Kesho Jumatano Juni 10

Honestly locally he isn't doing fine but yeah internationally he always does wonders.
 
Back
Top Bottom