Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Mpumbavu tu uyo kama unafanya muziki mzuri hakuna haja ya kumlilia mtu shoga kama Mchomvu
 
Kiukweli wale jamaa wa XXL wana maswali ya kichokonozi na kiuchonganishi mno, wale ndio waanzilishi wakubwa au wachochezi wa bifu nyingi za wasanii
 
Moni Centrozone anajua kinyama he's so talented au sio bhana!!Lakini me nilishangaa sana swali la kumhusu Chin beez unakataa kujibu!Huo ni utoto inamaana alishindwa ata kusema kua Wote ni wakali?,,Au wadau tuambizane labda Chin beez ana beef gani na uyu Moni??BTW ngoma kali sana hii"Penzi lako la Moootoooo"
 
Ila Mchomvu alisema One love they are Brothers so akuna noma wala nini,ila huezi jua kama alikunjua roho kweli Ki'rasta au alifanya tu ili yaishe.
 
Sion ubaya wa Mchomvu ila Moni ndo kazingua,alipaswa ajibu vyovyote cz ile ni interview na aliomba mwenyew,sasa inakuwaje aulizwe swali halafu aanze kusema eti hamtumbui chin beez!?
 
Bongo flava hakuna kitu kazi yao ni copy and paste nyimbo za magharibi,wasanii hata kushika gitaa hajui na bado wizara inawatazama tu wanaiga nyimbo za mabwanyenye utamaduni wetuu uko wapi ???
"Utamaduni wenu" unatuuliza sisi?
 
Kuna tatizo kubwa sana la Radio Presenters wa Kibongo pamja na Waandishi wetu kwa ujumla. Tatizo lenyewe ni wao kudhani wanajua kila kitu. Wanamwita msanii au mtaalamu wa jambo flani kwenye chombo chao kwa ajili ya Interviews lakini maajabu yake ni kwamba katika hiyo Interview wao ni wanageuka kuwa wazungumzaji wa kila jambo na hawatoi nafasi ya kutosha kwa mgeni waliyemwita aongelee kile anachokijua. Kwa msisitizo naweza sema ni ukosefu wa weledi.
 
Ni kutafuta huruma tu wakaze kazi ziko nyingi sio lazima usanii tu
 
Sion ubaya wa Mchomvu ila Moni ndo kazingua,alipaswa ajibu vyovyote cz ile ni interview na aliomba mwenyew,sasa inakuwaje aulizwe swali halafu aanze kusema eti hamtumbui chin beez!?
Ata mimi nilimaindi sana,et humjui Chin Beez??
 
moni na country ni mabest knoma

na chin bees nae alikuwaga anamponda country boy na kusema yeye ndo king wa trap.
so moni hawezi mtupa mwanae country..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…