King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Namzungumzia huyo hudabosichiki wa bongo.Huddabosichiki huyu binti wa Kenya?ina maana kijana ana uhusiano wowote na huyo binti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namzungumzia huyo hudabosichiki wa bongo.Huddabosichiki huyu binti wa Kenya?ina maana kijana ana uhusiano wowote na huyo binti?
"Utamaduni wenu" unatuuliza sisi?Bongo flava hakuna kitu kazi yao ni copy and paste nyimbo za magharibi,wasanii hata kushika gitaa hajui na bado wizara inawatazama tu wanaiga nyimbo za mabwanyenye utamaduni wetuu uko wapi ???
Unatoa wapi nishati ya kusikiliza redio?
Ata mimi nilimaindi sana,et humjui Chin Beez??Sion ubaya wa Mchomvu ila Moni ndo kazingua,alipaswa ajibu vyovyote cz ile ni interview na aliomba mwenyew,sasa inakuwaje aulizwe swali halafu aanze kusema eti hamtumbui chin beez!?
Wanaume wa dar bhana
View attachment 1191659
Anaishi Dar japo ni mgogo wa Dodoma,,Shughuli zake za kimuziki anazifanyia Dar.Moni Centrozone ni wa Dodoma.... Dsm kaja kwenye interview XXL