Msanii mpya wa WCB (Zuchu) ni sifuri

Msanii mpya wa WCB (Zuchu) ni sifuri

Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio maana Diamond amemsaini. Lakini kuimba anajua kidogo sana na muziki anaotunga hauwezi kufika popote. Hakuna cha maana walichofanya wasafi.

Hata Jolie, Karen, Winnie wana sauti kumzidi. Diamond hukuona wote hawa? Au waligomea kujiunga na wewe? Mihela unaiteketeza bure kwa huyu msichana.

Ila nahisi kama naanza kujishangaa mwenyewe kwa kuandika yote niliyoandika hapo juu. Nakumbuka mwaka 2015 wakati Harmonize anatambulishwa na wimbo wake wa kwanza nilitoa maoni yanayofanana na hayo kuhusu huyo Zuchu. Nilisema kuwa Harmonize asingefika kokote. Hana kipaji chochote zaidi ya kumuiga Diamond. Mshamba asie na swaga zozote. Akatoa ngoma kama Bado, Nambie, Kwangwaru na nyingine nyingi ambazo zilifanya vizuri mno. Bado nikamponda sana.

Lakini eti leo napaza sauti mbele ya watu kuwa Harmonize anajua kuliko Diamond. Najiita 'Team Konde Boy'. Mimi ni mnafiki sana. Yani kwa sababu Harmonize ametoka WCB eti leo najifanya kumsapoti. Najiuliza akirudi tena Usafini nitakuwa na maoni gani kuhusu muziki wake. Naomba asirudi. Nitakosa pa kuiweka sura yangu.

Dada Zuchu naomba usinisikilize. Nilimkandia hata Mbosso pia wakati anatambulishwa. Nilisema hawezi hata kukaribia levo za Aslay. Lakini leo hii muziki wake unasikilizwa zaidi kuliko wa Aslay. Nafuta kauli zangu zote hasi dhidi ya Zuchu. Ni chuki zangu tu dhidi ya Diamond ndio zimenifanya kuwa mnafiki. Nilikuwaga 'Team Kiba' sasa hivi najiita 'Team Konde Gang'.
Wasanii wa kike bongo kusikika ni rahisi kuliko wa kiume kutokana na idadi yao..apewe muda bt kitendo cha kumleta wakati KING katoa wimbo ni cha hatari sana binti anaweza aka pita kama kivuli labda awe mtu kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke mwenza hadi wa leo harmo anapondwa na mmoja wa wapondaji ni wewe. Tuje kwa mbosso mmeshamfikisha kimataifa?mbona nyimbo zake ni za kudumu wiki moja tu?
Ila ndio hivo ana jina kubwa na maisha mazuri ndo wasanii wanakiitaji mbosso amepiga show Mayotte ambayo wasanii wawili tu waliowahi kufanya hivo yeye ( mbosso) na diamond pekee na hiyo sehemu lugha yao kuu ni kifaransa.Amepata nominees kwenye tuzo kubwa ya Afrimma Mara mbili pia ameperform kwenye tamasha kubwa la Africa festival inayowakutanisha wasanii A-list wa Africa hayo nimeandika ni baadhi na haya yametokea ndani ya mwaka mmoja tu tangu ajiunge na WCB uoni ni Mafanikio makubwa?hajafikishaa hata miaka 2 Hadi sasa tangu awe WCB ndo maana nakuambia usimuhukumu zuchu usije ukahukumiwa baadae akiwa msanii mkubwa na mwenye Mafanikio.
 
Wewe na statistics zako za kubumba. Kama wcb hawakulipi pole sana unatumia nguvu kubwa kuwatetea eti maisha mazuri. Watu wanafukuzwa nyumba za kupanga bado unawasifia maisha mazuri maisha yapi hayo. Show unazozitaja wamevurunda vibaya

Basi umeshinda maana nakuona unaamisha mada kila nikikujibu ila nakushauri uache chuki zisizo na mbele Wala nyuma nimeona comment yako eti ngoma ya kiba unaomba ishuke viewers eti kisa Kuna hamisa mobetto Mwanamama acha chuki utapunguza umri wa kuishi
 
Mshamba, ngoja wamnoe vizuri labda atatoka, hiyo track yake aliyotoka nayo kaboronga, debut mbaya.
Anaweza kujikomboa lakini, warudi upya tu kwenye drawing board watafute style itakayomfaa. Mtu yeyote anaweza sukwa akatoka vizuri
 
Maskini kila ninapocomment unakuja na kulia lia daah pole kijana wa watu
Basi umeshinda maana nakuona unaamisha mada kila nikikujibu ila nakushauri uache chuki zisizo na mbele Wala nyuma nimeona comment yako eti ngoma ya kiba unaomba ishuke viewers eti kisa Kuna hamisa mobetto Mwanamama acha chuki utapunguza umri wa kuishi
 
Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio maana Diamond amemsaini. Lakini kuimba anajua kidogo sana na muziki anaotunga hauwezi kufika popote. Hakuna cha maana walichofanya wasafi.

Hata Jolie, Karen, Winnie wana sauti kumzidi. Diamond hukuona wote hawa? Au waligomea kujiunga na wewe? Mihela unaiteketeza bure kwa huyu msichana.

Ila nahisi kama naanza kujishangaa mwenyewe kwa kuandika yote niliyoandika hapo juu. Nakumbuka mwaka 2015 wakati Harmonize anatambulishwa na wimbo wake wa kwanza nilitoa maoni yanayofanana na hayo kuhusu huyo Zuchu. Nilisema kuwa Harmonize asingefika kokote. Hana kipaji chochote zaidi ya kumuiga Diamond. Mshamba asie na swaga zozote. Akatoa ngoma kama Bado, Nambie, Kwangwaru na nyingine nyingi ambazo zilifanya vizuri mno. Bado nikamponda sana.

Lakini eti leo napaza sauti mbele ya watu kuwa Harmonize anajua kuliko Diamond. Najiita 'Team Konde Boy'. Mimi ni mnafiki sana. Yani kwa sababu Harmonize ametoka WCB eti leo najifanya kumsapoti. Najiuliza akirudi tena Usafini nitakuwa na maoni gani kuhusu muziki wake. Naomba asirudi. Nitakosa pa kuiweka sura yangu.

Dada Zuchu naomba usinisikilize. Nilimkandia hata Mbosso pia wakati anatambulishwa. Nilisema hawezi hata kukaribia levo za Aslay. Lakini leo hii muziki wake unasikilizwa zaidi kuliko wa Aslay. Nafuta kauli zangu zote hasi dhidi ya Zuchu. Ni chuki zangu tu dhidi ya Diamond ndio zimenifanya kuwa mnafiki. Nilikuwaga 'Team Kiba' sasa hivi najiita 'Team Konde Gang'.
92343203_533136454275340_6906469054958076752_n.jpg

Muda na number zitaongea.Number 100 up to 1.
 
Hata kipindi amemtambulisha @harmonize_tz au Konde boy Mlisema hivyo hivyo ila leo ndio Mashabiki wakubwa wa @harmonize_tz...
Mmemsahau hadi KINGine KIBAkuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo kafeli ..kuondoka kwa harmonize kumemchanganya akili ..60% zimeondoka ...anashindwa wakusajili na wakumuacha ..pengo la harmo halizibiki pale kumebaki mauchafu tu kama kina rayvan.nyegezi na domo mwemyew
Pale mtu anapotaka kulazimisha mtizamo wako uwe ni wa kila mtu,ila mwisho wa siku muda na number zitaongea.

Hata yule aliyeindoka kundini mwanzoni walidai kafanana na Mondi wakadai Mondi anapoteza mda na hela yake,baadaye wale waliomponda wanamkubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo kafeli ..kuondoka kwa harmonize kumemchanganya akili ..60% zimeondoka ...anashindwa wakusajili na wakumuacha ..pengo la harmo halizibiki pale kumebaki mauchafu tu kama kina rayvan.nyegezi na domo mwemyew

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyewe Harmonize alivyokuwa WCB ulikuwa unamponda humu JF anafanana (nakujua vuzuri sana humu JF) na Diamond ,mwanzoni ww mwenyewe ulimkataa .Leo kwa kuwa yupo nje ya WCB eti ndio unamkubali.

Rayvanny ana rekodi ambazo hata huyo Harmonize hana na kuna uwezekano hasizifikie,ukimtoa Diamond kwa mwaka jana na mwaka huu msanii anayeongoza kwenye Digital platform anayefuatia ni Rayvanny.Huyo Harmonize nyimbo zake za mwaka huu zimeshindwa kutrend Kenya tu hapo ktk Youtube ,Sprortfy na Itune lkn za Rayvanny Teamo na X-Boyfriend zinafanya vizuri Kenya na zilitrend kwa kushika number 1 Kenya.

Hapo bado BET,Essense festival,1mil stream in sportfy (in 2months) for Tetema hii rekodi hata Mondi hana.Hapo bado mwaka jana ktk account yake ya Spotify nyimbo zake kwa mwaka jana zimesikilizwa mara mil 11.7.Mwaka huu Ep yake Youtube imesikilizwa mara mil 20 ndani ya mwezi mmoja.

Ila mimi nina uhakika huyo binti atasimama tu na atakuwa bora kwani Diamond sio mtu wa kukata tamaa,kama angekuwa mtu wa kukata tamaa kipindi nyinyi mkiponda Harmonize anafanana na kumuiga Diamond kwa kila kitu,leo tusingekuwa na HARMONIZE.

Najua unaponda sababu dogo yupo WCB ila kesho akitoka utamwita ni bora zaidi ya MONDI.

Ila siku zote mimi naamini ktk MUDA na NUMBER ,so tuziachie MUDA na NUMBER ziongee alafu mwisho wa mwaka tutafanya mahesabu,hizi hisia zikae pembeni kwa sasa.
 
Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio maana Diamond amemsaini. Lakini kuimba anajua kidogo sana na muziki anaotunga hauwezi kufika popote. Hakuna cha maana walichofanya wasafi.

Hata Jolie, Karen, Winnie wana sauti kumzidi. Diamond hukuona wote hawa? Au waligomea kujiunga na wewe? Mihela unaiteketeza bure kwa huyu msichana.

Ila nahisi kama naanza kujishangaa mwenyewe kwa kuandika yote niliyoandika hapo juu. Nakumbuka mwaka 2015 wakati Harmonize anatambulishwa na wimbo wake wa kwanza nilitoa maoni yanayofanana na hayo kuhusu huyo Zuchu. Nilisema kuwa Harmonize asingefika kokote. Hana kipaji chochote zaidi ya kumuiga Diamond. Mshamba asie na swaga zozote. Akatoa ngoma kama Bado, Nambie, Kwangwaru na nyingine nyingi ambazo zilifanya vizuri mno. Bado nikamponda sana.

Lakini eti leo napaza sauti mbele ya watu kuwa Harmonize anajua kuliko Diamond. Najiita 'Team Konde Boy'. Mimi ni mnafiki sana. Yani kwa sababu Harmonize ametoka WCB eti leo najifanya kumsapoti. Najiuliza akirudi tena Usafini nitakuwa na maoni gani kuhusu muziki wake. Naomba asirudi. Nitakosa pa kuiweka sura yangu.

Dada Zuchu naomba usinisikilize. Nilimkandia hata Mbosso pia wakati anatambulishwa. Nilisema hawezi hata kukaribia levo za Aslay. Lakini leo hii muziki wake unasikilizwa zaidi kuliko wa Aslay. Nafuta kauli zangu zote hasi dhidi ya Zuchu. Ni chuki zangu tu dhidi ya Diamond ndio zimenifanya kuwa mnafiki. Nilikuwaga 'Team Kiba' sasa hivi najiita 'Team Konde Gang'.
Mavijana ya bongo sijui yakoje? Hebu kanawe huko!
 
Back
Top Bottom