GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ana maanisha mwanamme awe mchapa kazi kama mashine, awe anajituma anapofanya kazi zake
mwanaume mashine
Na si hoji?Ana maanisha mwanamme awe mchapa kazi kama mashine, awe anajituma anapofanya kazi zake
Si hogoAna maanisha mwanamme awe mchapa kazi kama mashine, awe anajituma anapofanya kazi zake
Mwanaume is A sex machine, money making machine, money thinking machine and heart breaker machine
Ni mwanaume mwenyeweKwahiyo katika vyote hivyo unadhani ' mashine ' halisi ya Mwanaume kama alivyoimba Msanii Msaga Sumu ni ipi Mkuu?
Tuwekee mwimbo basi niusikie au kuona video.
Mimi maneno hayo ningefikiri kuongelewa kuwa strong au handsome au anajua kazi ile au kimavazi
Sasa itegemee lipi linaongelewa. Haya na mimi najifunza maneno
Mashine ni kitu chochote kinachorahisisha kazi.. Sifa ya mwanaume ni kufanya kazi kama mashine
Yap Bujibuji kwa kifupi Everything Mwanaume ni Machine Machine hahahahahaMwanaume is A sex machine, money making machine, money thinking machine and heart breaker machine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kibamia
Akijibu nitag mkuuVipi Mkuu Wewe umeshawahi labda kukutana na hiyo ' mashine ' ya Mwanaume ambayo Msaga Sumu ameiimba?