GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika Wimbo wake kila mara nimesikia akitaja ' mafanikio ' mengi ya Mwanaume ila kila mara anasisitiza tu kuwa Mwanaume ' Mashine '. Sisi wengine ni ' Wageni ' katika nchi hii na hatukijui vizuri Kiswahili hiki cha Kitanzania hasa hiki cha ' Pwani ' hivyo nawaombeni sana Watanzania na ' Waswahili ' mliotukuka mnisaidie kuniambia Msanii Msaga Sumu hapa alipokuwa akiimbia kwa kusema " Sifa ya Mwanaume Mashine....Mwanaume Mashine....Mwanaume Mashineeeeeeeee...." anamaanisha nini?
Nawasilisha.
Nawasilisha.