Msanii mtuhumiwa anapozuru kaburi la msanii

KIPUMPUSWA

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
106
Reaction score
35
hii imeekaje wandugu. mama na mtoto kama mzaha flani.
 

Attachments

  • sipati picha.jpg
    81.5 KB · Views: 438
  • hii imeekaje.jpg
    82.8 KB · Views: 385
Huyu mtoto ana matatizo sana..
 
Usanii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Waweza sema;

1.Wanapongezana!

2.Wanasikitika!

3..............................................!
 
Hapa ni usanii kama kawa na siku kakiachiwa huru mtaona makalio yake yatakavyolia mbwata! Sasa hivi kanaona soo, katakuwa kana kwenda kwenye kumbi za kujirusha bila kufuli-tusubiri ni suala la muda tu!
 
Mengine ni mambo binafsi sana

Wao tu na maisha yao

Yalisha pita, hata wangejifunga magunia, kujipaka masizi nk, haibadilishi kitu, so acheni wafanye kumbukumbu jamani
 
Hawa watu wasanii sana,what is this?
 
Mwenye namba za hako katoto please! Nataka nikape mtaji wa biashara,kafanye wakati kanasubiri uamuzi wa mahakama.
 
Kwa iyo kila mwaka ndo itakua iv iv?

Mama anamtumia mwanae kibiashara zaidi.
 
Baadhi yetu tunaangalia upande mmoja wa shilingi. Lakini kufiwa acha kabisa! Hata uwe mwanaume au mwanamke,na hata uwe kicheche au usiyetulia namna gani,kufiwa na mpenzi wako yule main,acheni kabisa! Huyo dogo yamemkuta makubwa kuliko umri wake. Msisahau marehemu alikuwa mpenzi wake. Msisahau!
 
That is life. Some mistakes have no second chance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…