Msanii Mwana FA bado hajapona Covid-19?

Msanii Mwana FA bado hajapona Covid-19?

Ikwefi

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
39
Reaction score
22
Huyu msaanii ni miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa kutangaza kupata virusi vya Corona.

Mpa sasa hakuna habari zozote za kuhusu kupona kwake ama kuwepo karantini.

Mwenye taarifa atujuze.
 
Kupona hila kalantini ameshatoka nilimuona kweny kipindi cha salama na alikuwa amekonda sana.
 
Piga namba #199 kwamaelezo zaidi. Halafu utupatie mrejesho.
 
Back
Top Bottom