Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa.
- "My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani tena. Nikimkaribia mwanao uliemkimbia, nitamtunza. :
- .
Kama anasoma shule ya kawaida nitampeleka Private school, kama hana nguo nzuri nitampigisha pamba za ukweli. Jumamosi usiku wewe ukiwa unakula bata na warembo wengine me nitacheza nae playstation, nitahakikisha anapata elimu bora, nitamlea katika maadili yampasayo. Kwa kuwa mama yake ulimzalisha ukadhani hana thamani tena na huku ukimpiga vita kwa kila shughuli zake ndogo za kumuingizia kipato yeye na mama yake bila kusahau mtoto.
:
.
me nitamuinua viwango vya juu na kumfanya awe bosslady. Na muda nitakaokuwa nimemaliza yote, mwanao atakua akikuita UNCLE na mimi ataniita DAD, girlfriend uliemuacha atakuita KIPUSA HEARTBREAKER na mimi ataniita MIGHTY KING..i will surely erase you little Boy! tusichukuliane poa"