mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Ndezi kama hawa kama mimi ni diamond namtia ndani mmoja wa mfano unless anaweza kuthibitisha hayo maneno yake bila kupepesa.... hovyo, jitu zima bongo movie imewashinda ataweza kulea mbegu za mwanaume mwenzie? Azae wake au akachukue yatima wamejaa.
Mtu mzima akili kisoda... shame!
Ukiona jitu kama hili linaongea maneno asiyoyajuwa basi juwa kuwa anatafuta kick au hana uwezo wa kuzaa. Hamisa anakimbiwa na wanaume kwa sababu ni kicheche asiyejitambua. HAKUNA mwanamme anayeweza kuoa HAMISA kwa sababu hakuna anayetaka kuchapiwa kutokana na demu mwenyewe kutojithamini na kukosa msimamo. Mtu analilia umaarufu kwa kupitia michango ya watu, si ujiga huu? Hivi huyu Hamisa ana Mama au hata ndugu wa kumpa mawazo tu?