Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

Mungu amlaze anapo stahili
Poleni wafiwa na ndugu wa marehemu.
 
Pole kwa wafiwa ingawaje ndio kwa mara ya kwanza nalisikia hili jina na kumuona muhusika mwenyewe

Marehemu hakuwa na skendo ndo maana jina geni kwako.
 
rip dada wote ni wasafiri hapa duniani.
 

mungu akupumzishe kwa amani wifi yangu
 
Mungu ailaze mahali pema peponi daima tutakukumbuka tutamic ucheshi wako na kipaji chako haupo naai kimwili lakini kiroho tuko wote ulale kwa amani kwakuwa kuishi ni faida bali kifo ni ushindi Tangulia dada umemaliza safari yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…