Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

Hahahah hapana...sijawahi kuwa na mahaba na hizi filamu za Kitanzania ndio maana hata simfahamu...hawa wengine huwa nawasikia kwa kuwa habari zao huandikwa magazetini.

mmm... best kwenu toka enzi mlikuwa mnatumia ving'amuzi na madish nini?
 
Hahahah hapana...sijawahi kuwa na mahaba na hizi filamu za Kitanzania ndio maana hata simfahamu...hawa wengine huwa nawasikia kwa kuwa habari zao huandikwa magazetini.

huyu umaarufu alipata katika michezo ya runinga
 
Prezida steve nyerere anza kupokea michango kwa tigo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…