Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hahahah hapana...sijawahi kuwa na mahaba na hizi filamu za Kitanzania ndio maana hata simfahamu...hawa wengine huwa nawasikia kwa kuwa habari zao huandikwa magazetini.
mmm... best kwenu toka enzi mlikuwa mnatumia ving'amuzi na madish nini?