Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
kash.jpg



Hili ni pigo lingine kwa wasanii wetu hapa nchini.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kash (Jaji Khadija) amefariki dunia katika hopsital ya muhimbili ambapo alikua amelazwa. Kash amewahi kutamba sana katika Michezo ya kuigiza kipindi cha nyuma kidogo iliyokua ikirushwa ITV, hadi mauti yana mkuta amekua akijuhusisha na shughuli za kuigiza. Moja ya Igizo alilowahi kucheza ni Tamu Chungu.
#MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AM



chanzo:
 
Pole kwa wafiwa ingawaje ndio kwa mara ya kwanza nalisikia hili jina na kumuona muhusika mwenyewe
 
R.I.P Kash....tunakuombea upokelewe na kundi la malaika!
 
:rip: dada Kashi.
Nakumbuka niliserebuka sana kwenye sherehe yako.
 
Back
Top Bottom