Kweli jamani asiwe bro K na wengine pia.Naombea hizi tetesi zisiwe za kweli.Hope sio brother k
Wala ht sio msanii wa futuh yy alikua msanii wa mind ur language vle vchekesho vya RFA ambavyo hurushwa kila j mos
nifah avatar yako tu mama
Mhhhh, hii avatar itaniletea balaa wallah!
dah mpaka tumesahau msibaTafadhari jamani tupo msibani hapa.!!!
Hahahaaa, wewe hata kuweka huwezi, lazima ikusumbue.Avatar ina usumbufu kidogo.