Msanii Mwingine wa Futuhi afariki Dunia

Msanii Mwingine wa Futuhi afariki Dunia

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wanabodi,

Nilikuwa napita sehemu nikasikia watu wanasema kuna msanii wa Futuhi mwingine mbali na mzee dude(Aliyefariki Jan 214) amefariki,kama kuna mdau anamjua anaweza akatudadavulia ni msanii gani japo akaweka na picha yake.
 
Wala ht sio msanii wa futuh yy alikua msanii wa mind ur language vle vchekesho vya RFA ambavyo hurushwa kila j mos
 
Ni mzee flan hv sema nmemsahau jina ila kama unackiclizaga sana huyo mzee ana saut nzto af hua anawashaur shaur sana af lafudh yke kama ya watu wa pemba
 
Back
Top Bottom