TANZIA Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam

TANZIA Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio.

Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.

1605012974493.png

 
Uko na ka umama fulani hivi.
Na bado tunaye hadi 2045 ,Mkuu nimechunguza watu kwa sasa wana hasira kinoma na ndio maana naandika kwa ajili ya kupunguza stress(utani wa msibani) usichukulie serious ,usipende amani wakati wa vita utakufa mapema ,kuchukia chukia mwisho utachukia majini.
 
Back
Top Bottom