Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Alimpendea Nini nyoshi? Mbona hakuwa na dhiki huyu mama??hiyo siri yake,ila tunachojua kuwa huyu aliwahi kuishi na Nyoshi El Saadat,baada ya nyoshi kufiwa na mkewe,mnenguaji Rukia Bruno aliefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu sana