Hii kali hadi wewe hujui?R.I.P ,kaugua nini?
Na bado tunaye hadi 2045 ,Mkuu nimechunguza watu kwa sasa wana hasira kinoma na ndio maana naandika kwa ajili ya kupunguza stress(utani wa msibani) usichukulie serious ,usipende amani wakati wa vita utakufa mapema ,kuchukia chukia mwisho utachukia majini.Uko na ka umama fulani hivi.
Rip!Habari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.
R.I.P Mr Glady
Mr???🙄🙄R.I.P Mr Glady