Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Alimpendea Nini nyoshi? Mbona hakuwa na dhiki huyu mama??hiyo siri yake,ila tunachojua kuwa huyu aliwahi kuishi na Nyoshi El Saadat,baada ya nyoshi kufiwa na mkewe,mnenguaji Rukia Bruno aliefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu sana
Alimpendea Nini nyoshi? Mbona hakuwa na dhiki huyu mama??
Yule mama na hadhi yake kweli??Kwani kupenda ni hadi uwe na dhiki, hivi Nyoshi unamchukuliaje?
Yule mama na hadhi yake kweli??
Mbona walikua wanalandana vingiAlimpendea Nini nyoshi? Mbona hakuwa na dhiki huyu mama??
Inatukumbusha kukaa katika YesuHabari zilizotufikia hivi punde, Msanii na MC Maarufu, Gladness Chiduo 'Zipompa Pompa' amefariki dunia katika hospitali ya Rabinisia jijini Dar es Salaam.
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Ununio.
Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.
Kwa lipi bna? Yule mama na heshima.zake kweli??Mbona walikua wanalandana vingi
Kwa lipi bna? Yule mama na heshima.zake kweli??
Kumbe ndio ilikuwa kazi yake!nimeelewa sasaPisi kali sasa nani atawapa connection tena,mama kaondoka
Duh ila nasikia ukiwa na dalii kimoko unakuwa unapata sana genye au maneno tu ya waja?ARV Zina masharti,mama Bila bao zake 4 ilikua hakuachiiš
Hapana,wengi hawapendi kufa peke yaoDuh ila nasikia ukiwa na dalii kimoko unakuwa unapata sana genye au maneno tu ya waja?