Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mkuu huelewi maana ya kwa sasa?namba moja africa?
KITIMOTO= NGAMIA, VYOTE HARAMU TU.mleta uzi wala kitomoto wanakuandalia mitusi
Africa ipi?namba moja africa?
Aisemayo Nyani Ngabu 'Miafrika ndivyo tulivyo'Africa ipi?
Hajaitangaza ila mimi ndio nimeamua kuitangaza.Nyumba ya ibada haijengwi na mtu mmoja, atofautishe dini na misaada mengine. Ndio maana tumefundishwa unapotoa swadaka hata mkono wakushoto usijue, hapa maana yake usitangaze. Amefanya jambo la kheir ila namuomba asilifanye public namna hii. Achote busara kwa Bakhresa na matajiri wengine wa Kiislamu ambao hutoa kimya kimya kwenye mambo yahusuyo dini.
Allah amjaalie zaidi azidi kusaidia wengine.
Bado anaishi kwa mama, aanze akue atoke kwa mama ndio afikirie kujenga chuo.Ali kiba nae nasikia anajenga chuo kikuu cha sayansi na teknolojia ya anga huko kigoma
Bukoba alitoa mchango mkubwa tu. Inatosha sana.Bukoba naomba aende pia