mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Muziki haramu.ila hauwezi jua.labda hizo hela amewaambiwa ametoa kwenye biashara zake.Je ! hiyo biashara ya huo muziki anaoufanya kwa sheria za dini ni " HALAL" Kama ndio good job na amepata thawabu zake, kama sio wanazuoni wanazungumziaje kuhusu zawadi hiyo waamini waliopwa ila wawe wanaswalia hapo?