Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

Msanii namba 1 Afrika kwa sasa, Diamond Platnumz ajenga nyumba ya Ibada (Msikiti)

Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.

Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.

View attachment 445640
Africa ipi mzee?..hahahaaaa
 
Kwa ubora.
TANZANIA tuna TBS shirika la viwango na ubora sasa wewe umetumia TBC au TBS kupima huo UBORA?

diamond ni msanii anaefanya vizuri ila sio msanii bora afrika "Huo ni utumwa wa fikra kuamini kuwa Diamond ndiye msanii bora Afrika".

Kura yako moja isikufanye uone uko sahihi .
 
Bado anaishi kwa mama, aanze akue atoke kwa mama ndio afikirie kujenga chuo.
You need to grow!
Kiba anategemewa na familia yake, halafu unasema anaishi kwa mama!
Kuna watu wana nyumba zaidi ya kumi, na bado wamepanga!
Msipende kukomenti Negative kila saa!
For your information, KIBA ana Mpunga wa kutosha tena anaweza akawa Mwanamziki wa kwanza TZ.
....Ndiyo maana akasema Depe tupu haliachi kupiga kelele......
....Haya ni maisha, tunaposema Great Thinker., Let us be True Great Thinker!
 
Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.

Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.

View attachment 445640
Umejawa na ushabiki Mkuu
Mbona hujataja tatoo alizojichora au kwa sababu kajenga msikiti
Kuza fikra zako
 
Back
Top Bottom