Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nilijua tu lazima utafurahi [emoji4]Kwa mara ya kwanza umenifurahisha kumuongelea vizuri Diamond.
Huo ndio upande wa pili wa Nifah.
Cheers[emoji477]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu lazima utafurahi [emoji4]Kwa mara ya kwanza umenifurahisha kumuongelea vizuri Diamond.
Kabisa,kama ambavyo huwa tunamsema kwa ubaya kwa mabaya yake kwakuwa hili ni jema hatuna budi kumpongeza.Kwakuongezea tu ni kwamba,kuna mizani ya kupima heri(mema)na mabaya,hili ni jambo la kheri,aungwe mkono.
My man [emoji7] [emoji4]Dah,the Bold!
Unawapa benefit of doubt hao wachangiaji wengine, lets say msikiti ungekuwa una jengwa na mmiliki wa cartel ya drugs na tuna mfahamu pia ninge pinga.Misikiti mingi huku mitaani inajengwa kwa swadaka na michango mbalimbali yetu sisi waumini.
Kuna anayejua kila swadaka/mchango wa muumini chanzo chake ni khalal?
Ni wapi swadaka ya muumini imewahi kukataliwa msikitini?
Tena wengine ni 'madon' wa sembe na Masheikh wanajua fika ila swadaka zao wanazipokea.
Allah ndiye hakimu,atamhukumu kila mmoja wetu kwa kadiri ya aliyoyatenda.
Period
Kwani hawajawahi kupokea msaada toka kwa ''MAKAFIRI''?Mbona anavaa hereni uislamu unakubali kuvaa hereni?
Au ndio msemo wa baniani mbaya kiatu chake dawa?
Unajuwa ni kwa nini Mzee Yusuf wa Jahazi ameacha muziki na kwenda kutubu msikitini?Hajaitangaza ila mimi ndio nimeamua kuitangaza.
Msaada haukataliwi hata ukitoka Kwa shetani sembuse kafiri.Safi..... amani ni muhimu sana...
Kwani hawajawahi kupokea msaada toka kwa ''MAKAFIRI''?
Wanaojenga nyumba za ibada wengi kwa dini zote ni mashaka matupu,wengine wamewaibia wanachi,wengine wakabaji,wengine wauaji ila kuna muda unatafuta nusura unamgeukia mungu,si kitu kibaya,ila kuhoji uhalali tutapasuka vichwa.Unawapa benefit of doubt hao wachangiaji wengine, lets say msikiti ungekuwa una jengwa na mmiliki wa cartel ya drugs na tuna mfahamu pia ninge pinga.
Yale yaliyo wazi tuyapinge, ya walio jificha Mungu mwenyewe ata amua ilimradi kwa dhamiri zetu tuna jua kabisaa tunaingia masjid hatujui aliye changia ni mtu gani.
Diamond kujenga msikiti, sidhani kama ki imani limekaa sawa. Any way hayo ni mawazo yangu mimi.
Kwa mara ya kwanza umenifurahisha kumuongelea vizuri Diamond.
Kwa mara ya kwanza umenifurahisha kumuongelea vizuri Diamond.
Hili siyo jukwaa la jokes bro tunza heshima yako, fafanuwa Diamond ni msanii namba 1 Africa kwenye nini?Niko sawa sawa, kama unabisha pisha na ukae pembeni.
Sasa mkuuWanaojenga nyumba za ibada wengi kwa dini zote ni mashaka matupu,wengine wamewaibia wanachi,wengine wakabaji,wengine wauaji ila kuna muda unatafuta nusura unamgeukia mungu,si kitu kibaya,ila kuhoji uhalali tutapasuka vichwa.
Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko huko Iringa, pia anamalizia kujenga msikiti kwa ajili ya Ibada.
Ni mfano wa kuigwa sana huyu kijana. Wengine wanaishia kuvaa vaa mipete mara ya kijani,nyekundu,bluu sasa sijui wanaabudu majini na mazombi.
View attachment 445640
Unawapa benefit of doubt hao wachangiaji wengine, lets say msikiti ungekuwa una jengwa na mmiliki wa cartel ya drugs na tuna mfahamu pia ninge pinga.
Yale yaliyo wazi tuyapinge, ya walio jificha Mungu mwenyewe ata amua ilimradi kwa dhamiri zetu tuna jua kabisaa tunaingia masjid hatujui aliye changia ni mtu gani.
Diamond kujenga msikiti, sidhani kama ki imani limekaa sawa. Any way hayo ni mawazo yangu mimi.
Kweli kabisa,huenda sikusoma vemaSasa mkuu
Mbona nimejibu hapo, kuwa tuwape benefit of doubt, at least mambo yao ambayo ni kinyume na dini hayako wazi kama kama diamond.
Na ikitokea lets say mtu kama Irene Uwoya aka jenga kanisa naye nitaona haija kaa poa, na hao wengine kujenga misikiti haim justfy diamond, kwa kuwa mostly mambo yao hayao wazo kwenye jamii hapo tuna muachia Mwenyez Mungi ajaji mwenyewe.