Msanii namba moja tanzania

Msanii namba moja tanzania

BABA BOMBASTIC

Senior Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
146
Reaction score
246
Habari zenu..
In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote anayebisha aje na nondo zinazoeleweka, naomi nitamuuliza msanii mkubwa sasa NIGERIA NI ninani?? Je ni WIZKID??au DAVIDO?? Idike sasa bongo tusitumie nguvu za hawa wawili kuwashusha wasani wanaofanya vinzuri Tanzania,tutaendelea kuwaumiza madogo wanaokuja kwa Juhudi zao.

Niambie Albamu 2 zinazofanya vinzuri sasa Tanzania ni zipi??

Sawa tuliwainua sana kipindi kile,LABDA Nikueleze DIAMOND alikuwa anashindana BELLE 9,na ALIKIBA alikuwa anashindana na MARLA,tukawashusha BELL9 NA MARLAW tukaenda na hawa wawili,unajua mziki wa Tanzania msanii mwenye roho ya kipekee sana ni ALIKIBA,maana kipindi ALIKIBA anazindua nyimbo YAke ya DUSHELELE meneja wa DIAMOND alimuomba DJ wa show ya uzinduzi wa nyimbo ya ALIKIBA apIgee nyimbo ya DIAMOND ya NITAREJEA Ndipo ALIKIBA alipoambiwa na yule DJ kuwa meneja wa DIAMOND anaomba nyimbo ya msanii wake ndio iwe ya kwanza kupigwa ALIKIBA alikubali bila kupinga nakusema "SAWA TU".

Hiyo ndo ikawa toka ya DIAMOND.basi kwa sasa tukubaliane na ukweli uliopo kuwa MARIO NA JAYMELODY ndio wasabi wakubwa Tanzania,tukiendelea kuwashusha hawa chini tutawaondolea confidence kufanya mapini makubwa yakayo fanya vinzuri AFRICA,maana watajiona kuwa kuna wasanii wakubwa zaidi yao.
Nakaribisha vitaaaaa.juu ya team Mond na kiba
.
 
Omari umesahau kutuacha na akapela hapo kidogo
 
Msanii namba Moja Tanzania ni Zuchu
Yani mtajua wenyewe
 
Utakuwa ni mtoyo sana katika muziki, Jay melody ansimba kitu gani?
 
sio habari za kujua game toka kitambo ninachokisema hapa current situation hali ilivyo sasa nani anafanya vinzuri kwa BONGO fleva??achana na amapiano huo sio mziki wetu, ndo maana kwenye tuzo zao hatujawahi kuchukua,hapa bongo nani katoa Albamu kali juu ya hawa wawili Mario na Jay MELODY??
 
Kwahiyo huo ni mziki wa kumfanya mtu awe namba 1
Bongo fleva ni mziki ulikuwa unafanya vinzuri Africa mashariki na katiulipo kuja ujio wa nyimbo za Nigeria ndio ulidhoofisha mziki wetu walikuwa wakina jai martin,na kina d banj
 
Back
Top Bottom