Msanii Nandy alikuwa ni nani kwa Entertainment and Creative Industry ' Genius ' aliyeondoka duniani?

Alikuwa bega kwa bega Na Mrs Prof Mutahaba Kule South Africa, India, Kairuki, JKCI kumuuguza 'Boss' Ruge

Ngoja wadau waje kutuambia alikuwa mbele Kama Mdau Au Kama Mtu maalum
 
Alikuwa bega kwa bega Na Mrs Prof Mutahaba Kule South Africa, India, Kairuki, JKCI kumuuguza 'Boss' Ruge

Ngoja wadau waje kutuambia alikuwa mbele Kama Mdau Au Kama Mtu maalum
Tafuta maendeleo binafsi bila kujadili watu, tayari robo mwaka imekatika usipoangalia utashtukia December na hujafanya la maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta maendeleo binafsi bila kujadili watu, tayari robo mwaka imekatika usipoangalia utashtukia December na hujafanya la maana

Sent using Jamii Forums mobile app

Muda uliotumia kufungua hii thread mpaka ukapata kusoma Na ku quote comment yangu ungekuwa ushafuta Meza ngapi Kwenye Mgahawa unaohudumu?

Usishindane Na sie 'tusiotaka' Maendeleo utaishia kupata stress maana utakuta 'Mtafuta' Maendeleo Wewe uko Hovyo Kuliko 'tusiotafuta' Maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…