Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alitakiwa akamzike babyYuko Hollywood anakula maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitakiwa akamzike babyYuko Hollywood anakula maisha.
Haha sasa hao wajane si wangejaza mwendo kasi !!!Ray c sijamuona kabisa msibani ilitakiwa awe kwenye ule mstari wa wajane masikini sijui yukwapi
Kila mara nilikuwa namwona mbele huku akipewa Kipaumbele cha Kutukuka kabisa. Nitashukuru sana nikieleimishwa kuhusu Umuhimu wake mkubwa katika tukio zima.
Nawasilisha.